Kiungo kiraka wa Yanga Pato Ngonyani leo ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa jijini Dar es salaam.
Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya ndoa..
HONGERA PATO...
Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya ndoa..
HONGERA PATO...
ADVERTISE HERE