Tuko pamoja na Stars - Ten

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2018
Tuko pamoja na Stars - Ten
Ofisa habari wa Yanga, Dismas Ten amesema wanaitaka kila la kheri timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' katika mechi yao dhidi ya Uganda kesho Jumamosi.

Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu ya Yanga leo, Ten asema Jumapili watakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya African Lyon baada ya kubadilisha ratiba ya mechi na Singida United ambayo ilikuwa ichezwe Kigoma.

"Mechi hii itakuwa ni kupiga ujangili na uuwaji wa tembo sambamba na wanaochukua meno yake tunaomba mashabiki wetu wajitokeze kwa wingi.

"Nawashukuru mashabiki wa Yanga ambao wanaendelea kuichangia timu yetu kwani pesa yao imekuwa ikisaidia mambo mengi ya kuendesha timu," alisema Ten.

"Tunapinga ujangili wa kuua na kuchukua meno ya tembo mashabiki na wapenzi wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Taifa kupata burudani wa mechi ambayo itakuwa kali lakini dhumuni kikiwa ni hilo, " alisema Mkurugenzi wa African Lyon Rahim Zamunda.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
57m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’