Leo Ijumaa saa saba na nusu mchana, Uongozi wa Yanga umeitisha Mkutano na Waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani jijini Dar es salaam.
Moja ya ajenda za Mkutano huo ni kuzungumzia mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Pia huenda taarifa za baadhi ya viongozi na wachezaji wa Yanga kuhojiwa na TAKUKURU zikatolewa ufafanuzi.
Kwa siku za hivi karibuni maafisa wa TAKUKURU wamekuwa wakitembelea Makao Makuu ya klabu hiyo kukusanya taarifa mbalimbali kwa ajili ya kutimiza majukumu yao.

ADVERTISE HERE