Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omari Kaaya amesema taarifa ya kufungiwa kiungo Mohammed Issa Banka inaweza kuthibitishwa na Shirikisho la soka nchini (TFF) pekee.
Siku chache zilizopita kumeibuka taarifa kuwa kiungo huyo aliyesajiliwa na Yanga kutoka klabu ya Mtibwa Sugar amefungiwa na FIFA kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kufeli vipimo vya afya kwenye michuano ya CEFACA Challenge iliyofanyika nchini Kenya mwaka jana.
"Nafikiri ni wakati muafaka kusubiri kauli husika kutoka kwa TFF kwani suala hili bado liko chini yao."
"Kama kutakuwa na suala la kufungiwa au adhabu yoyote tunasubiri taarifa kutoka kwao kisha tutakuwa na nafasi ya kulizungumzia"
Wakati huo huo ule mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya African Lyon utapigwa siku ya Jumapili, Septemba 09 kwenye uwanja wa Taifa.
Viiingilio vya mchezo huo;
VIP A - Tsh 10,000/-
VIP B na C - Tsh 5,000/-
Mzunguuko - Tsh 3,000/-

ADVERTISE HERE