Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaaya leo alifika uwanja wa Taifa 'kuwasabahi' wachezaji wa Yanga walio kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Uganda.
Beno Kakolanya, Gadiel Michael, Andrew Vicent na Kelvin Yondani wako kwenye kikosi cha Stars ambacho kesho Alhamisi kinatarajiwa kwenda Uganda.
Hassani Kessy ambaye sasa anakipiga na Nkana FC ya Zambia naye alijumuika na wachezaji wa Yanga, timu aliyoichezea kwa misimu miwili kabla ya kutimkia Zambia mwezi Julai mwaka huu

ADVERTISE HERE