Samatta, Kessy, Ulimwengu, Banda wanogesha mazoezi Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2018
Samatta, Kessy, Ulimwengu, Banda wanogesha mazoezi Stars
Wachezaji wanaosakata kabumbu nje ya nchi wakiongozwa na nahodha Mbwana Samatta leo wameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Taifa kujiandaa na mchezo dhidi ya Uganda Septemba 08.

Samatta, Thomas Ulimwengu, Abdi Banda na Hassan Kessy tayari wametua nchini na leo jioni wameshiriki mazoezi ya Taifa Stars kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Aidha nyota wengine, Simon Msuva, Himid Mao, Farid Mussa na Shaban Iddi Chilunda wanatarajiwa kuwasili leo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’