Ten amaliza utata wa Tshishimbi

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
14 Aug 2017
Ten amaliza utata wa Tshishimbi
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amethibitisha kuwa kiungo Papi Kabamba Tshishimbi ameshawasili jijini Dar es salaam na yuko mbioni kuungana na kikosi cha Yanga visiwani Zanzibar.

Baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vikipotosha sana ujio wa kiungo huyu na ndio maana pengine ilisababisha kuzua taharuki kwa baadhi ya mashabiki ambao wamekuwa wakihoji sana kuhusu mchezaji huyu.

Ifahamike sasa Tshishimbi yupo na ataonekana kwenye kikosi cha Yanga, hilo halina ubishi. Ni vyema tuamini taarifa za viongozi wetu kwani wao tumewapa majukumu ya kuisimamia Yanga kwa niaba yetu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’