Kwa huyu beki lazima 'nao' wataunga tela

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2018
Kwa huyu beki lazima 'nao' wataunga tela
Yanga imeanza juhudi za kumnasa beki aliye katika kiwango bora kabisa ndani ya klabu ya Rayon Sports, Rwabutaye Abdoul.

Rwabutaye alikuwa kinara kwenye safu ya ulinzi ya Rayon kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliofanyika wiki iliyopita nchini Rwanda.



Beki huyo mwenye umri wa miaka 22 alifanikiwa kumzuia mshambuliaji hatari wa Yanga Heritier Makambo ambaye hata hivyo aliumia kwenye mchezo huo na nafasi yake kuchukuliwa na Yusufu Mhilu.

Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika alipata nafasi ya kuzungumza na beki huyo sambamba na wakala wake baada ya mchezo Jumatano iliyopita.

Hapa Yanga lazima ihakikishe inamalizana nae mapema kabla wale mabingwa wa kuvuruga hawajaingilia kati kama walivyofanya kwa wachezaji wengine.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
53m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’