Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' chini ya kocha wake Emmanuel Amunike imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kusaka tiketi ya AFCON 2019 dhidi ya Uganda.
Mchezo huo utarajiwa kupigwa nchini Uganda Jumamosi ijayo, Septemba 8,2018.
Amunike ameeleza kufurahishwa na mwitikio wa wachezaji wake mazoezini na kumpa matumaini ya kufanya vizuri kwenye mchezo huo utakaozikutanisha timu wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Stars imeendelea kujifua bila nahodha Mbwana Samatta, Abdi Banda, Simon Msuva, Himid Mao na Thomas Ulimwengu ambao wametakiwa kuripoti kambini Septemba 04.

ADVERTISE HERE