Wachezaji Yanga walioitwa Stars waripoti kambini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2018
Wachezaji Yanga walioitwa Stars waripoti kambini
Wachezaji wa Yanga walioitwa kujiunga na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' tayari wameripoti kambini muda mfupi baada ya kuwasili kutoka Rwanda.

Yanga ilirejea leo Alhamisi mchana kutoka nchini Rwanda kuhitimisha ratiba ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Africa.

Nahodha Kelvin Yondani, Beno Kakolanya, Gadiel Michael na Andrew Vicent walielekea kambi ya Stars moja kwa moja baada ya kuwasili.

Stars inajiandaa na mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa AFCON 2019 ambapo Septemba 08 itasafiri kwenda Uganda kuchuana na Uganda Cranes.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’