Kikosi cha Yanga kimewasili mapema leo kutoka nchini Rwanda kukamilisha ratiba ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, hatua ya makundi.
Yanga imehitimisha michuano hiyo jana kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Rayon Sports.
Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Andrew Vicent na Benno Kakolanya wanakwenda kujiunga na kambi ya timu Taifa huku wachezaji wengine wakitarajiwa kuendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United utakaopigwa Septemba 05 mkoani Kigoma.

ADVERTISE HERE