Licha ya kuwatimua wachezaji sita wa Simba waliocholewa kuripoti kambi ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Kocha Mkuu wa timu hiyo Emannuel Amunike pia amemtimua kiungo wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto'.
Toto ameunganishwa na wachezaji sita wa Simba baada ya kushindwa kuripoti kambini juzi.
Inaelezwa kuwa Toto alitakiwa kuripoti kambini mapema kwa kuwa hakusafiri na kikosi cha Yanga nchini Rwanda kutokana na kukosa sifa ya kucheza mashindano ya kombe la Shirikisho.
Kuondolewa kwa Fei Toto kunafanya kocha huyo Mnigeria awe ametimua wachezaji saba.

ADVERTISE HERE