Mchezo wa Mwadui FC dhidi ya Yanga wapigwa kalenda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2018
Mchezo wa Mwadui FC dhidi ya Yanga wapigwa kalenda
Bodi ya ligi kuu imetangaza kusogeza mbele michezo iliyokuwa ipigwe kati ya Septemba mosi na tatu kutokana na maombi ya kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Emmanuel Amunike.

Mtendaji wa Bodi hiyo Boniface Wambura amesema Amunike ameomba michezo hiyo iondolewe hasa kwa timu zilizotoa wachezaji wengi kwenye kikosi cha timua Taifa kwani anawahitaji wachezaji kuanzia Septemba mosi.

Septemba Mosi kikosi cha timu ya Taifa kinatarajiwa kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya AFCON 2019 dhidi ya Uganda utakaopigwa Septemba 08 nchini Uganda.

Hivyo mchezo kati ya Mwadui Fc dhidi ya Yanga uliokuwa upigwe Septemba 02 mkoani Shinyanga utapangiwa tarehe nyingine.

Aidha michezo itakayozihusu Azam FC na Simba katika tarehe hizo nayo imeahirishwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’