Septemba 05, 2018 Yanga itachuana na Singida United kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa mkoani Kigoma kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya 20
Kwa muda mrefu mkoa wa Kigoma haukuwa na timu inayoshiriki ligi kuu, mchezo huu wa kirafiki utatoa nafasi kwa mashabiki wa soka wa mkoa huo kupata burudani 'mbashara'.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Lake Tanganyika ambapo viingilio upande wa VIP itakuwa Tsh 10,000/- na mzunguuko itakuwa 5,000/-

ADVERTISE HERE