Meneja wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' atakuwa mchezaji wa kwanza hapa Tanzania kutoa kitabu kinachozungumzia maisha yake.
Kitabu hicho kitakachofahamika kwa jina la THE AMAZING STORY OF NADIR HAROUB CANNAVARO, kiko katika maandalizi.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema kupitia kitabu hicho, mshabiki wa Nadir watapata fursa ya kuyafahamu mambo mengi yanayomuhusu mkongwe huyo aliyeitumikia Yanga kwa miaka 12.

ADVERTISE HERE