Michezo mitatu TPL kupigwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2018
Michezo mitatu TPL kupigwa leo
Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo Jumatatu raundi ya pili ambapo michezo mitatu inatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.



Uwanja wa Taifa, Simba inatarajiwa kucheza na Mbeya City wakati kule Chamazi Azam FC itachuana na Ndanda FC.

Mkoani Mwanza Alliance FC itaikaribisha African Lyon kwenye mchezo utakaopigwa dimba la CCM Kirumba.

Waamuzi wajipange

Wakati ligi hiyo ikiingia raundi ya pili, baadhi ya michezo imegubikwa na maamuzi ya kustajabisha ambapo waamuzi wameshindwa kutafsiri ipasavyo sheria 17 za soka.

Katika michezo hiyo imeshuhudiwa mabao ya waziwazi yakikataliwa kutokana na waamuzi kushindwa kutafsiri sheria ya kuotea.

TFF inapaswa kuchunguza kwa makini mwenendo wa waamuzi wake na ichukue hatua mapema kwani bila hivyo huenda matukio ya uvunjivu wa amani yakaanza kujitokeza viwanjani kama waamuzi wataendelea kutotenda haki iwe kwa kutojua sheria au kwa makusudi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’