Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa saa kumi jioni kwenye dimba la Chamazi utaonyeshwa moja kwa moja na televisheni ya Azam, Chanel ya Azam Sport 2.
Kwa wale wenye kin'gamuzi cha Azam ambao watashindwa kufika Chamazi sasa wataweza kuushuhudia mchezo huo moja kwa moja.
Kwa wale wenye kin'gamuzi cha Azam ambao watashindwa kufika Chamazi sasa wataweza kuushuhudia mchezo huo moja kwa moja.
ADVERTISE HERE