Yanga ilikusanya Milioni mbili juzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Aug 2018
Yanga ilikusanya Milioni mbili juzi
Klabu ya Yanga juzi August 23 imekusanya jumla ya 2,460,703 kutoka kwa mashabiki katika kampeni yake ya kuwashirikisha wadau wake kuichangia.

Aidha, katika kipindi cha siku 12 Yanga imekusanya jumla ya shilingi 4,464,283 ikiwa ni ongezeko la zaidi ya Milioni moja ukilinganisha 3,073,263 zilizopatikana kwenye awamu ya kwanza.



Baada ya kuridhishwa na uwezo wa timu yao mashabiki wa Yanga wameendelea kuhamasika kuichangia timu.

Lakini pia uamuzi wa kuitangaza kampeni hiyo kupitia vyombo mbalimbali vya habari umekuwa na faida.

WanaYanga wameaswa waendelee kuichangia timu kwani timu hii wanaimiliki wao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’