Mchezo wa kwanza wa Yanga ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa leo saa 12 jioni kwenye uwanja wa Taifa.
Viingilio vya mchezo huo;
VIP A : Tsh 15,000/-
VIP B na C : 10,000/-
Mzunguuko : 3,000/-
Watoto : 1,500/-
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewataka mashaiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa ili kuipa sapoti timu katika mchezo huo muhimu wa ufunguzi wa msimu.

ADVERTISE HERE