Mapema leo Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es Salaam kulifanyika dua maalum kwa ajili ya kuukaribisha msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Dua hiyo ambayo pia ilihusu kuwaombea marehemu waliotanguliwa mbele ya haki, ilihudhuriwa na wachezaji, viongozi, wanachama na mashabiki wa klabu ya Yanga.

Ni jambo jema kumtanguliza Mungu kwa kila hatua inayoanza.
Yanga itaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa 28 kesho itakapoikaribisha Mtibwa Sugar kwenye mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa saa 12 jioni.

ADVERTISE HERE