Mahadhi nje wiki mbili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Aug 2018
Mahadhi nje wiki mbili
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi atakuwa nje kwa wiki mbili kufuatia majeraha ya goti aliyopata kwenye mchezo wa juzi dhidi ya USM Alger.

Uongozi wa Yanga umesema Mahadh anaendelea na matibabu ya majeraha hayo akitarajiwa kuanza mazoezi baada ya wiki mbili.

Yanga yajifua uwanja wa Uhuru

Wakati huo huo kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi, August 23 2018 kwenye uwanja wa Taifa ambapo unatarajiwa kupigwa saa 12 jioni.

Mchezo huo umehamishwa kutoka uwanja wa Uhuru uliokuwa umepangwa awali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’