Katibu Mkuu wa zamani wa klabu ya Yanga Charles Mkwasa amerejea nchini leo akitoka India alikokwenda kutibiwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Mkwasa amelishukuru Shirikisho la soka nchini TFF kwa kufanikisha safari yake. Pia ameishukuru familia yake na wote waliokuwa nae bega kwa bega tangu anaondoka nchini.

Mkwasa Amesema haikuwa kazi rahisi kufanikisha matibabu yake lakin kikubwa anashukuru Mungu ametibiwa na kurejea salam nchini.

ADVERTISE HERE