Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya USMA jana, uongozi wa Yanga ulimkabidhi mgeni rasmi, Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mpira uliotumika kwenye mchezo huo.

Mpira huo mahsusi ulisainiwa na wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la Ufundi na kukabishiwa kwa mgeni rasmi na nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul.

ADVERTISE HERE