Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusufu Manji tayari yuko ndani ya uwanja wa Taifa akisubiri kuanza kwa mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya USM Alger.
Manji aliwasili mapema uwanjani hapo na kupata nafasi ya kuwasalimia mashabiki kisha kuelekea vyumbani walikokuwa wachezaji wa Yanga.
Manji alipata nafasi ya kuzungumza machache na wachezaji ambapo jambo la msingi alilofanya ni kuwahamasisha ili waweze kushinda mchezo wa leo.

ADVERTISE HERE