Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusufu Manji tayari yuko uwanja wa Taifa akisubiri kuanza kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger.
Jana Manji aliuahidi uongozi wa Yanga pamoja na wachezaji kuwa atakuwepo uwanja wa Taifa kuwaunga mkono mabingwa hao wa Kihistoria wa Tanzania.

Mchezo unatarajiwa kuanza saa moja jioni.

ADVERTISE HERE