Kikosi cha Yanga kimemaliza kambi ya siku 10 mkoani Morogoro kwa kufanya dua maalumu iliyosimamiwa na viongozi wa dini mkoani humo.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, tukio hilo lilifanyika jioni ya leo Ijumaa.
"Baada ya kambi ya siku zaidi ya 10 hatimae tumeitimisha kambi yetu kwa kupata Dua toka kwa viongozi wa dini hapa mkoani Morogoro jioni ya leo na kupata chakula cha usiku pamoja," imesema taarifa ya Yanga
"Tunawashukuru sana wana Yanga wa matawi ya Morogoro kwa huduma kwa kipindi chote cha kambi yetu"
Yanga inatarajiwa kuondoka mkoani Morogoro kesho kurejea jijini Dar es salaam tayari kuikabili USM Alger kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE