Serengeti Boyz yatinga nusu fainali AFCON U17 CECAFA Qualifier

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2018
Serengeti Boyz yatinga nusu fainali AFCON U17 CECAFA Qualifier
Ushindi wa mabao 5-0 iliyopata Serengeti Boyz leo dhidi ya Sudani umeiwezesha kutinga Nusu Fainali ya michuano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, ijulikanayo kama CECAFA AFCON U17 Qualifiers.

Mabao ya Serengeti Boyz iliyotawala mchezo huo yalifungwa na Omar Yousef, Kelvin John (2) na Agiri Ngoda(2).

Serengeti Boys inaongoza kundi A ikiwa na alama sita sawa na Rwanda.

Mchezo wa mwisho watacheza dhidi ya Rwanda kutafuta kinara wa kundi A ambaye atachuana na mshindi wa pili wa kundi B.



Tanzania ndio mwenyeji wa Fainali za AFCON U17 mwakani, ambazo mfumo wake wa kufuzu sasa umebadilishwa na kuwa Kanda badala ya droo inayohusiaha bara zima.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’