Wachezaji Yanga wapewa mapumziko leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2018
Wachezaji Yanga wapewa mapumziko leo
Baada ya mazoezi mfululizo ya takribani wiki tatu yaliyoambatana na michezo ya kirafiki, wachezaji wa Yanga leo walipewa mapumziko.

Wanadinga hao wa mabingwa wa kihistoria wa Tanzania walitumia mapumziko hayo kujiburudisha huku wengine wakitumia muda huo kuogelea.

Yanga ilitua mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi huu kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara inayoanza wiki ijayo.

Ikiwa mkoani Morogoro Yanga ilicheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Mawenzi Market, Kilosa Combine na Mkamba Rangers na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika kila mchezo.

Yanga inarejea jijini Dar es salaam kesho Ijumaa tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger utakaopigwa katika dimba la Taifa siku ya Jumapili, August 19 1018.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
47m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’