Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kesho Ijumaa kikitokea mkoani Morogoro ambako kiliweka kambi ta takribani wiki tatu.
Yanga inarejea Dar siku mbili kabla ya kuivaa USM Alger kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika, mzunguuko wa tano.
Wapinzani wa Yanga, USM Alger wanatarajiwa kuwasili leo tayari kwa mchezo huo ambao utakuwa wa kukamilisha ratiba tu kwa upande wa Yanga.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten ametaja viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa Jumapili saa moja jioni kuwa ni Tsh 10,000/- kwa jukwaa la VIP A, 7000/- kwa VIP B na C huku upande wa mzunguuko kiingilio kikiwa Tsh 3,000/- tu.

ADVERTISE HERE