Yanga kuivaa USM Alger saa moja usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2018
Yanga kuivaa USM Alger saa moja usiku
Mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumapili August 19 kwenye dimba la Taifa utaanza saa moja jioni.

Mchezo huo ni wa kukamilisha ratiba tu kwa kikosi cha Yanga ambacho tayari kimepoteza nafasi ya kutinga robo fainali baada ya vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Gor Mahia.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema ataumtumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi ya kikosi chake kabla ya mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa kwenye uwanja wa Uhuru August 23, 2018.

Mshambuliaji Heritier Makambo raia wa DR Congo anatarajiwa kuitumikia Yanga kwa mara ya kwanza kwenye michuano hiyo baada ya kuidhinishwa na CAF akiungana na Matheo Anthony na Deus Kaseke ambao walicheza mchezo wa mzunguuko wa nne dhidi ya Gor Mahia
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’