Kikosi cha Yanga leo kilikuwa wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro kuchuana na Mkamba Rangers inayoshiriki ligi daraja la pili.
Mchezo huo wa kirafiki imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0.
Bao la Yanga limefungwa na kiungo Papi Kabamba Tshishimbi.
Yanga iliyoweka kambi mkoani Morogoro, imecheza michezo minne ya kirafiki na kufanikiwa kushinda michezo yote.
Ilishinda mabao 5-1 dhidi ya Tanzanite Academy kabla ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mawenzi Market, Kilsa Combine na Mkamba Rangers.

ADVERTISE HERE