Viingilio mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
11 Aug 2017
Viingilio mchezo dhidi ya Ruvu Shooting
Viingilio vya mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting vimeweka hadharani ambapo mzunguuko kiingilio itakuwa Tsh 3000/- tu wakati VIP A Tsh 15,000/- , VIB B na C ni Tsh 10,000/- tu.

Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Taifa siku ya Jumamosi, August 12, 2017 ukitarajiwa kuanza majira ya saa kumi kamili jioni.

Twendeni sasa uwanja wa Taifa tukaondoe hofu tulizonazo juu ya kikosi chetu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’