Azam TV, KCB wadhamini pekee wa ligi kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2018
Azam TV, KCB wadhamini pekee wa ligi kuu
Vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao huenda vikalazimika kutegemea zaidi mapato ya milangoni kutokana na changamoto ya wadhamini.

Baada ya kampuni ya Vodacom kujitoa kudhamini ligi Kuu, KCB na Azam Pay TV ndio kampuni pekee zitakazodhamini ligi hiyo.

Kwa kila klabu inayoshiriki ligi kuu msimu huu itapata jumla ya Mil 177 kutoka kwa wadhamini hao.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga vs Kagera Sugar ni Jumapili hii, hivi hapa viingilio
Yanga vs Kagera Sugar ni Jumapili hii, hivi hapa viingilio
2m ago
READ MORE β†’
Nini matarajio urejeo wa pili wa Ramovic?
Nini matarajio urejeo wa pili wa Ramovic?
2h ago
READ MORE β†’
Kapteni Beka mbioni kurejea kikosini
Kapteni Beka mbioni kurejea kikosini
3h ago
READ MORE β†’
Kituo kinachofuata ni Kagera Sugar
Kituo kinachofuata ni Kagera Sugar
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
9h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
21h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1d ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1d ago
READ MORE β†’