Waamuzi kutoka nchini Namibia watachezesha mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya USM Alger utakaopigwa uwanja wa Taifa, Jumapili ijayo August 19 2018.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Shirikisho la soka Barani Afrika, CAF, mwamuzi wa kati atakuwa Jackson Pavaza na atsaidiwa na Matheus Kanyanga pamoja na Tauhulupo Shaanika.
Huo ni mchezo wa kukamilisha ratiba tu kwa Yanga kwani tayari imepoteza nafsi ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo.
Hata hivyo Yanga imedhamiria kutumia mchezo huo kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom ambapo August 23 Yanga itashuka kwenye uwanja wa Uhuru kumenyana na Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE