Yanga yaichapa Kilosa Combine 1-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2018
Yanga yaichapa Kilosa Combine 1-0
Kikosi cha Yanga leo kilishuka tena dimbani kujipima na Kilosa Combine katika mchezo mwingine wa kirafiki.

Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Gustavo kwenye dakika ya 32.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ametaka kikosi chake kicheze angalau michezo mitatu ya kirafiki kabla ya kuivaa USM Alger katika mchezo wa kombe la Shirikisho Jumapili ijayo, August 19.

Huenda Yanga ikacheza mchezo mwingine wa kirafiki kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kuisubiri USM Alger.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’