Leo kikosi cha Yanga kiliendelea na mazoezi kwenye viwanja vya Highland Park mkoani Morogoro kujiandaa na msimu mpya.
Kocha Mwinyi Zahera aliongoza mazoezi hayo yaliyofanyika asubuhi na jioni huku Meneja mpya Nadir Haroub akianza rasmi majukumu yake akiwa sehemu ya benchi la Ufundi baada ya kuitumikia Yanga kwa miaka 12 akiwa mchezaji.

ADVERTISE HERE