Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kujiandaa na msimu mpya pamoja mchezo maalum wa kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' aliyeitumikia Yanga kwa muda mrefu zaidi.
Mazoezi ya leo Jumatatu jioni yamefanyika katika viwanja vya Hotel ya Highlands Park mkoani mkoani Morogoro.



Mazoezi ya leo Jumatatu jioni yamefanyika katika viwanja vya Hotel ya Highlands Park mkoani mkoani Morogoro.



ADVERTISE HERE