Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga watashuka uwanja wa Taifa, Jumamosi August 12 kumenyana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa kirafiki.
Huo ni mchezo wa pili wa kirafiki kwa Yanga ambayo Jumamosi iliyopita iliilaza Singida United mabao 3-2 katika dimba hilo la Taifa.

ADVERTISE HERE