Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kikiwa chini ya kocha wake Mwinyi Zahera.
Mbali na kujiandaa na msimu mpya pamoja na michezo ya kombe la Shirikisho, Yanga inajiandaa kwa mchezo maalumu dhidi ya Mawenzi FC utakaopigwa August 12.

Mchezo huo ni mahsusi kwa ajili ya kumuaga mkongwe na nahodha wa muda mrefu wa Yanga Nadir Haroub aliyestaafu sasa akiwa Meneja wa Yanga.

Siku hiyo pia Yanga itazindua rasmi timu yake ya wanawake, Yanga Queens.

ADVERTISE HERE