Uongozi wa Yanga umeweka hadharani dhumuni hasa la kuwaomba mashabiki wake kuichangia wakati huu ni kuweza kutatu baadhi ya changamoto.
Kaimu Katibu Mkuu Omary Kaaya amesema wakati wakiandaa mikakati kabambe ya kuiwezesha Yanga kuongeza mapato yake, kwa wakati huu wanahitaji kuongezewa nguvu na wadau wake.
Utaratibu wa kuchangia umezinduliwa rasmi jana, na tayari michango imeanza kupokelewa. WanaYanga tumeashwa tuendelee kuichangia timu yetu kadiri tunavyoweza.

ADVERTISE HERE