Kessy atambulishwa Nkana FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2018
Kessy atambulishwa Nkana FC
Beki wa zamani wa Yanga Hassan Kessy leo ametambulishwa rasmi na klabu ya Nkana FC inayoshiriki ligi kuu ya Zambia baada ya kukamilisha usajili wake.

Kessy aliyeitumikia Yanga kwa misimu miwili amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Nkana FC.

Ametua timu hiyo akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika huku ikishindikana kufikia makubaliano ya mkataba mpya licha ya juhudi kufanywa na viongozi wa Yanga.

Kessy ameondoka Yanga akiwa na baraka zote za uongozi wa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania Bara.

Mwenyewe ameishukuru Yanga kwa ushirikiano aliopata katika kipindi cha miaka miwili aliyokuwa Jangwani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’