Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani utaratibu wa kuichangia timu hiyo kupitia mitandao mbalimbali ya simu.
Ombi la kuchangiwa na wadau wake lililotolewa juzi na Kaimu Katibu Mkuu wa timu hiyo Omary Kaaya ambaye alisema Yanga inahitaji sapoti yao baada ya kukumbwa na changamoto za kiuchumi.

ADVERTISE HERE