Yanga yaanza kujifua Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2018
Yanga yaanza kujifua Morogoro
Kikosi cha Yanga kilichowasili mkoani Morogoro jana, leo kimeanza mazoezi rasmi kwenye uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi na mchezo wa kombe la Shirikisho.

Yanga inatarajiwa kuwa mkoani Morogoro kwa wiki mbili kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kuivaa USM Alger kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho utakaopigwa uwanja wa Taifa August 19.

Yondani nahodha mpya Yanga

Wakati huo huo beki kisiki Kelvin Yondani ameteuliwa kuwa nahodha mpya wa kikosi cha Yanga ambapo atasaidiwa na Thabani Kamusoko pamoja na Juma Abdul.

Yondani amerithi majukumu ya Nadir Haroub ambaye amestaafu na sasa amepewa majukumu ya kiutawala na uongozi wa Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’