Rostand na Yanga kimeeleweka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2018
Rostand na Yanga kimeeleweka
Uongozi wa Yanga umemalizana na mlinda lango Youthe Rostand baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, imefahamika.

Yanga imelazimika kuchukua uamuzi huo baada ya kukamilisha usajili wa mlinda lango mwingine Klaus Kindoki kutoka DR Congo.

Uwepo wa Rostand na Kindoki utafanya Yanga iwe na makipa wawili wa kigeni.

Awali Rostand ilikuwa atolewe kwa mkopo kwenda klabu ya African Lyon lakini mpango huo ulikwama saa chache kabla ya dirisha la usajili kufungwa wiki iliyopita.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’