Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa anatarajiwa kuondoka wakati wowote kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua.
Mkwasa alijiuzulu nafasi ya Ukatibu Mkuu katika klabu ya Yanga mapema mwezi huu baada ya kukumbwa na maradhi katika mfumo wa upumuaji.
Katika taarifa aliyoitoa baada ya kujiuzulu, Mkwasa alisema maradhi hayo yalimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake ipasavyo pia madaktari wake walimshauri apumzike ili apate muda wa kutibu maradhi hayo.
Tunamtakia kila la kheri katika safari yake huko India na matibabu yakaweze kumsaidia apone maradhi yanayomsumbua.

ADVERTISE HERE