Rostand amepewa nafasi, amejiharibia mwenyewe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2018
Rostand amepewa nafasi, amejiharibia mwenyewe
Mlinda lango Youthe Rostand alinusurika kutolewa kwa mkopo kwenda klabu ya African Lyon baada ya mpango huo kukwama saa chache kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili Alhamisi iliyopita.

Taarifa za uhakika zimebainisha kuwa Rostand aligomea mpango huo wa kutolewa kwa mkopo akishiniza avunjiwe mkataba wake ili ajiunge akiwa mchezaji huru.

Baada ya sintofahamu hiyo, viongozi wa Yanga waliamua kumbakisha kikosini licha ya kuwa tayari walishasajili mlinda lango mwingine Klaus Kindoki.

Hata hivyo uzembe aliofanya kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Gor Mahia, umemuweka katika nafasi finyu ya kuendelea kubaki Jangwani.

Juzi kocha Mwinyi Zahera alilazimika kumtoa kwenye dakika ya 75 na kumpa nafasi Benno Kakolanya ambaye amepoona majeraha ya goti yaliyomsumbua kwa muda mrefu.

Makosa ya Rostand yamekuwa yakiongezeka mchezo hadi mchezo jambo lililopelekea mashabiki wa Yanga kutokuwa na imani nae kabisa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’