Kambi ya Yanga kuwa mkoani Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2018
Kambi ya Yanga kuwa mkoani Morogoro
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuelekea mkoani Morogoro kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza August 22, 2018.

Kabla ya kuanza kwa ligi, Yanga inakabiliwa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger utakaopigwa katika dimba la Taifa, August 19 2018.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga Hussein Nyika amesema Yanga inakwenda mkoani Morogoro na kikosi chake kamili kuanza rasmi maandalizi ya msimu mpya.

Kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Gor Mahia juzo kimeondoa nafasi ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho hivyo kuifanya michezo yake miwili iliyobaki kuwa ya kukamilisha ratiba tu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’