Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) ndio wadhamini wapya wa liku kuu ya Tanzania Bara kwa msimu wa 2018/19.
Shirikisho la soka nchini (TFF) na Benki hiyo leo wameingia makubaliano ya udhamini na kusaini mkataba wenye thamani ya Mil 420
Ligi ya msimu ujao itakuwa na tumu 20.
Shirikisho la soka nchini (TFF) na Benki hiyo leo wameingia makubaliano ya udhamini na kusaini mkataba wenye thamani ya Mil 420
Ligi ya msimu ujao itakuwa na tumu 20.
ADVERTISE HERE