Mashabiki tuipende timu yetu, twendeni uwanjani

Admin By Admin
β€’
29 Jul 2018
Mashabiki tuipende timu yetu, twendeni uwanjani
Hakuna timu ambayo itafanikiwa bila ya sapoti ya mashabiki wake. Utajiri au umasikini wa timu unategemea na idadi pamoja na ukaribu wa mashabiki wakekwa timu.

Yanga imepita kwenye nyakati ngumu sana, kila mmoja anatambua. Wakati huu sio wa kuonyesheana vidole, turidhike na juhudi zilizofanyika kwa hawa wachezaji waliosajiliwa.

Isingewezekana kutokea muujiza kuifanya Yanga ifanye mambo makubwa ilihali inafahamika klabu inapita katika mazingira ya aina gani.

Lakini tunaweza kuisaidia timu yetu kiuchumi kwa kwenda uwanjani kuipa sapoti kila inapocheza. Uwepo wetu uwanjani pia unaongeza hamasa kwa wachezaji na kuwafanya wapambane.

Tukumbuke msimu ujao unaoanza Agosti 22, katika michezo yote ya ligi, timu mwenyeji ndio itakuwa inachukua mapato yote ya mlangoni.

Hivyo kama mashabiki hatutatokea uwanjani hiyo inamaanisha tutakuwa tunaididimiza zaidi timu yetu.

Hata hivyo nakubaliana na wale wanaoutaka uongozi wa Yanga kuimarisha kitengo chake cha uhamasishaji ili kuweza kuwarejesha kundini mashabiki waliovunjika moyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’