Singida United yasema Muroiwa AMEKATALIWA na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2018
Singida United yasema Muroiwa AMEKATALIWA na Yanga
Kuhusu Mchezaji wa kimataifa Elisha Muroiwa.

Mchezaji wetu huyu kwa makubaliano ya awali ya viongozi wa Yanga na Singida United alitakiwa ajiunge na Yanga kwa msimu ujao, makubaliano haya yalilenga kuimarisha safu ya ulinzi ya Yanga hususani kwa kipindi hiki cha kombe la shirikisho na ligi msimu ujao baada ya viongozi wao kusema kunaupungufu wa beki kwenye kikosi hicho.

Kama klabu tulifanya taratibu zote za kumpeleka mchezaji huyo Yanga kama makubaliano yalivyokuwa.

Lakini Elisha Muroiwa beki huyu wa timu ya Taifa ya Zimbabwe aliyeiongoza Zimbabwe kwenye michuano mikubwa ya AFCON 2017 kule Gabon AMEKATALIWA na viongozi wa Yanga kwa madai kwamba kwa sasa wanabeki wa kutosha hivyo hawahitaji tena huduma ya beki huyu.

Muroiwa atabaki kuwa mchezaji wa Singida United kwa misimu miwili ijayo.

SINGIDA UNITED FC
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’